Mbagala yote Sukuma kwa Yesu MKUTANO. Sasa MBAGALA yooooote SUKUMA KWA YESU, Ule Mkutano mkubwa wa Injiri utakao fanyika kwa kishindo pale katika Viwanja vya TAG Kich…
Mkutano wa Injiri Wasiookoka watapata tabu sana, ' Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu, na hata akamtoa mwana wake wapekee ili kila amwaminie asipotee apate …
CMF Choir (TAGKichemchem) Ile kwaya ya Wanaume inayo ongoza kwa kuimba Jiji Dar es Salaam. Sasa ipo tayari kwa miariko mbalimbali ya kuimba nyimbo za Injiri katika Mikutan…
Ibada Ikiendelea. Mahali : TAG Kichemchem Church Washirika wakiwa Ibadani waki fuatilia maneno ya Mungu yanayo tolewa kanisani hapo. Ibada zetu ni kuanzia Siku ya…
Social Media Sasa unaweza ukatupata kupitia mitandao ya kijamii kama vile YouTube , Fungua YouTube kisha tafuta TAG Kichemchem Church , Utatupata kwa urahisi, …