Sasa unaweza ukatupata kupitia mitandao ya kijamii kama vile YouTube, Fungua YouTube kisha tafuta TAG Kichemchem Church, Utatupata kwa urahisi, sikiliza nyimbo za kwaya mbalimbali kwa njia ya Audio zilizowekwa kwenye mfumo wa video, Pia usiache ku SUBSCRIBE kwenye kurasa yetu ili uwe mmoja wa wafuatiliaji wa video zetu. Pia bonyeza arama ya kengere ili upate taarifa kuhusu ukurasa wetu na Mungu Atakubariki.
Posts