Ile kwaya ya Wanaume inayo ongoza kwa kuimba Jiji Dar es Salaam. Sasa ipo tayari kwa miariko mbalimbali ya kuimba nyimbo za Injiri katika Mikutano na Makanisani.
Pia wametoa Albamu yao iitwayo SOMA NENO inayo uzwa kwa Tsh 3,000 CD ipo katika mfumo wa Sauti yaani 'Audio' kwa anaye taka CD apige namba,
Simu: Airtel 0787 527 804
Simu: TIGO 0716 527 804
Tumia namba hizi hapo juu kwa Miariko mbalimbali ya Uimbaji. Pia nyimbo zinapatikana kwenye YouTube, Vile vile tembelea mitandao yetu ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest.
Kwa mawasiliano zaidi tutumie Email kupitia kichemchemtag@gmail.com na Mungu wa mbinguni atakubariki.
Posts