Karibu TAG Kichemchem, Na Mungu ataonekana juu ya shida zako, juu ya majaribu yako, kwa mana majaribu unayopitia ni ya muda ipo siku yatakoma, Mungu aliye wavunsha WanaIsraeli ndiye atakae kuvusha katika jaribu lako mwaka huu, usi hofu mana yeye ni wa milele, Yeye ni Alfa na Omega hakuna jambo linalomshinda mbingu na ardhi zinatukuza jina lake. "Rev. Mbaigwa"
Posts