For any Advertisements Contact Us Click here!

Mbagala yote Sukuma kwa Yesu

TAG Kichemchem Church

  •    MKUTANO.

   Sasa MBAGALA yooooote SUKUMA KWA YESU, Ule Mkutano mkubwa wa Injiri utakao fanyika kwa kishindo pale katika Viwanja vya TAG Kichenchem, Nyuma ya Dispensary ya BAKWATA, Chini ya Rev. Haruni A. Mbaigwa. Utakao anza Jumapili Tarehe 4.11.2018 hadi 11.11.2018. Wahubiri sasa, Wahubiri ni Baba na Mwana kiroho na kimwili, ambao ni Mch. Isaack Soga na Mwnj. Gideon Soga watawasha moto wa YESU Kristo kwa siku nane (8). Wagonjwa wote SUKUMA KWA YESU, Wenye shida wote SUKUMA KWA YESU. USIPANGE KUKOSA, MWAMBIE NA MWENZIO KWAMBA MBAGALA YOTE TUNASUKUMA KWA YESU.

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.