Wasiookoka watapata tabu sana, ' Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu, na hata akamtoa mwana wake wapekee ili kila amwaminie asipotee apate uzima wa milele' Biblia inasema.
Ewe Baba, ewe Mama, ewe Kaka, ewe Dada saa ya wokovu ni sasa na si baadae, Usiufanye moyo wako kuwa mgumu, mkiri Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako Leo.