Mahali: TAG Kichemchem Church Washirika wakiwa Ibadani waki fuatilia maneno ya Mungu yanayo tolewa kanisani hapo. Ibada zetu ni kuanzia Siku ya Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Ijumaa na Jumpili. Maombi na Ushauri unapatikana kanisani hapo chini ya Mchungaji Haruni A. Mbaigwa, Pamoja na jopo lake wahudumu hapo kanisani.
Posts